Wanawake huwa mna roho za namna gani?

Wanawake huwa mna roho za namna gani?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kuna rafiki yangu amewahi kumtukana galfrd wake matusi ya nguon bt cha kushangaza huyu binti hakomi,bado tu anamg'ang'ania msella.sa hayo ni mapenzi au ujinga maana keisha tukanwa sana pamoja na kufanyiwa kila aina ya vituko lakni hakomi?
 
Aende wapi? Wanaume wako wachache sana na kamzoea huyo huyo na kampenda kama alivyo na si vinginevyo!
 
Kuna rafiki yangu amewahi kumtukana galfrd wake matusi ya nguon bt cha kushangaza huyu binti hakomi,bado tu anamg'ang'ania msella.sa hayo ni mapenzi au ujinga maana keisha tukanwa sana pamoja na kufanyiwa kila aina ya vituko lakni hakomi?

inaonyesha fika huyu rafiki yako
ndo mjinga. ... ... ... ....
 
Ukitembea na mwizi na ww utakuja kuwa mwzi!
 
Usishangae sana lazima kuna kitu unique rafiki yako anacho mfano Rafiki yako anamhogo mkubwa hadi umempelekea huyo msichana awe na Bakuli(andazi) kubwa sasa we unafikili dem Akimbiliwe kwa nani.TEHE TEHE Ni mfano tu
 
Mwanamke anayasoma tofauti hayo,usishangae!
 
bora Jini unalolijua kuliko Malika ambaye humjui. Nalog off
 
Usishangae sana lazima kuna kitu unique rafiki yako anacho mfano Rafiki yako anamhogo mkubwa hadi umempelekea huyo msichana awe na Bakuli(andazi) kubwa sasa we unafikili dem Akimbiliwe kwa nani.TEHE TEHE Ni mfano tu

heshima yako mkuu. mzee usiombe kukutana na mwanamke aliyeachwa na kidume chenye over size. Unaweza kushangaa unaulizwa ipo ndani tayari , ili hali wewe karibu wazungu wanakaribia kutoka.
 
mkuu unashangaa nini au hujasikia watu mpaka wanapelekana mahakamani mtu kagoma kuchwa tena ktk level ya u bf na gf. Mapenzi ndo yalivyo watu wengine hawajui kucha au kuachwa
 
...ati kajitutumua kumtukana hadharani?

faraghani mwanaume kama huyo utadhani mbwa kwa chatu, anakuwa mnyoooooonge!
kila shetani na mbuyu wake bana, mapenzi ndivyo yalivyo..
 
heshima yako mkuu. mzee usiombe kukutana na mwanamke aliyeachwa na kidume chenye over size. Unaweza kushangaa unaulizwa ipo ndani tayari , ili hali wewe karibu wazungu wanakaribia kutoka.

Aisee!Kwa hiyo ulishakutana na wa sample hiyo sio?
 
Back
Top Bottom