Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna rafiki yangu amewahi kumtukana galfrd wake matusi ya nguon bt cha kushangaza huyu binti hakomi,bado tu anamg'ang'ania msella.sa hayo ni mapenzi au ujinga maana keisha tukanwa sana pamoja na kufanyiwa kila aina ya vituko lakni hakomi?
inaonyesha fika huyu rafiki yako
ndo mjinga. ... ... ... ....
inaonyesha fika huyu rafiki yako
ndo mjinga. ... ... ... ....
Unamaanisha nini, nae angetukana? au angeenda polisi?Huyo dada naye akapimwe akili. Haiwezekani utukanwe utulie tu!
Unamaanisha nini, nae angetukana? au angeenda polisi?
na wewe unahesabu una rafiki!
Usishangae sana lazima kuna kitu unique rafiki yako anacho mfano Rafiki yako anamhogo mkubwa hadi umempelekea huyo msichana awe na Bakuli(andazi) kubwa sasa we unafikili dem Akimbiliwe kwa nani.TEHE TEHE Ni mfano tu
heshima yako mkuu. mzee usiombe kukutana na mwanamke aliyeachwa na kidume chenye over size. Unaweza kushangaa unaulizwa ipo ndani tayari , ili hali wewe karibu wazungu wanakaribia kutoka.