Wanawake huwa mna tatizo gani mnapokuwa kwenye biashara?

Ajabu la mwanamke ni kwamba hapo ungemtongoza angekubali na hata hiyo saa angekuhonga bure!!.. next time jiongeze hao viumbe si wa kulaumiwa hata kidogo
 
wanawake wengi hawajui kufanya biashara,hawajiamini, hawana maamuzi....mwanaume ni rahisi kwa sababu ana maamuzi
 
Tatizo la hawa viumbe wanajiona wao ndio fursa mbele ya wanaume kuliko fursa husika.
 
UKITAKA UFIKE MBALI KIBIASHARA MWEKE MWANAMKE AKUUZIE.
They are smarter,commitment ,marketer by nature..

NB:Awe na kichwa cha hesabu.


-RUHUSA KUFANYA UTAFITI KWA BIASHARA KUBWA ZENYE PESA NDEFU,NANI WANAHUSIKA.

°my experience driven me to tell you°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…