kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Ajabu la mwanamke ni kwamba hapo ungemtongoza angekubali na hata hiyo saa angekuhonga bure!!.. next time jiongeze hao viumbe si wa kulaumiwa hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKITAKA UFIKE MBALI KIBIASHARA MWEKE MWANAMKE AKUUZIE.Juzi nilikuwa napita pita maeneo ya mjini kama unavyojua Mkulu kesharuhusu wamachinga kupanga vitu, nikawa napita kutafuta saa moja hivi ya mkononi kwa ajili ya mdogo wangu.
Nikapita eneo wamepanga saa nikaiona saa moja nikaipenda nikasema nikirudi nitaipitia. Nilipomaliza shughuli zangu nikapita lile eneo nikasimama akaja mdada mmoja nikamuuliza hiyo saa ni sh ngapi? Akanijibu ni elfu 10 daaah nikamwambia saa elfu kumi wakati sa hizi za kawaida ni elfu 5 nachukua, akakomaa pale pale eti haishuki hiyo kaka ni Elfu 10 nikamwambia haya dada poa haina shida.Yaani hata bila kubembeleza akaniambia haya, nikasepa zangu.
Nimefika mbele kidogo nikakutana na mshikaji mmoja kwa bahat nzuri nikaikuta saa ile ile nayo jamaa anayo nikasema ngoja niicheck. Jamaa akaniambia buku 8 hiyo boss, nikasema mimi nina tano hapa mfukoni kama inalipa nikutoe akasema ongezea kama nipe 7 nikuachie. Nikasimamia pale pale nina 5 mkuu, akasema toa hiyo pesa, nikatoa nikasepa zangu.
Sasa swali ninalojiuliza ni;
Hivi kwanini wanawake mkiwa kwenye biashara mara nyingi hampendi kushuka bei au mkiona mwanaume basi mnajua atatoa tu hela kizembe, maana huyu mwanamke si mmoja nishakutana nao wengi tu na kwenye nguo pia wanasimamia kucha, yani bora ampoteze mteja kuliko kupunguza hata mia.