Wanawake.....huwa mnajisikiaje?

Wanawake.....huwa mnajisikiaje?

Harika Angel Msofee Umesahau alaamie nae hulaaniwa!
 
Jibu ni rahisi sana. Kuridhika kati ya wawili inategemea sana maumbile yao ya siri.
Yakitofautiana sana lazima moja ataumia na kupata michubuko au mwingine kutokujisikia kabisa.
Kuna sababu nyingine nyingi za kisayansi hasa kumhusu mwanamke.
Mungu amewapa wanawake uwezo wa kutambua mwanaume kuwa anafaa au hafai kabla ya tendo.
Ukiona mwanamke anakukataa pamoja ni kujiona umekamilika ujue kakushitukia.
 
All in all nadhani wanawake wengi ni wachumia tumbo zaidi kutokana uchumi kuwa mgumu
 
Ni maneno ya kutudhalilisha, since it applies to your monthers, sisters and daughters it's good!
 
Back
Top Bottom