Wanawake huwa mnakimbilia wapi

Wanawake huwa mnakimbilia wapi

Ishu ya wanawake kuzeeka mapema au kuchoka, ukileta hoja ya mimba ni very rubbish..njoo na sababu ingne..vinginevyo leta list ya wanawake wasiozaa haWajazeeka.
Lady JD
 
“I’m old, and I’m fat, and I look age-appropriate for what my age is,” McGillis told Entertainment Tonight in 2019
 
Sio hao tu cheki hata tudemu tukimaliza form four tukianza kusuka miaka miwili tushaanza kuzeeka
 
 
Itakuwa alikuwa mkubwa kwake kiumri siunajua nchi za DUNIANI ya kwanza mwanaume ANAWEZA akawa mdogo ata miaka kumi na mka date naye tu
 
Habari wakuu,

Nilikuwa nacheki hapa historia ya Tom Cruise na Ex wake, yaani mpaka now 2023 Tom Cruise anauwezo wa kumuita Ex wake huyo ni mama yake na watu wakaamini kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi jamani hawa mademu huwa wanakimbilia wapi!View attachment 2539018
Nikimwangalia tom cruise ka beat ka mission impossible kanakuja akilini
 
Back
Top Bottom