Kununua nguo, viatu na mapambo bila mpangilio.
Hivi sijui akili zao zipoje yaani unakuta mwanamke kabati la milango 3, begi kubwa 2 yamejaa minguo yake na nyingine wala hajawahi kuzivaa halikadhalika kwenye shelfu ya viatu tena ile ya ngazi 7 imejaa viatu vyake tu lakini still akiona nguo/viatu huko road yeye anaendelea kununua tu.
Tukija kwenye michango ya harusi sasa hapo hadi nina waoneaga huruma yaani unakuta mtu kila mwezi anaratiba ya kuchangia harusi, kitchen party, send off n.k.
Wengine pesa zao zinamalizika kwa babu bagamoyo kuroga madanga yao.