Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unacheza wa shilling ngapi best? Rafiki zangu wanacheza 2.5m kila mwezi ikifika zany ya mtu anapata 15mUpatu, na siku nikipata upatu pia huwezi kujua
Mie nacheza Tshs.500,000/= kwa mwezi tuko 4Unacheza wa shilling wa shilling ngapi best? Rafiki zangu wanacheza 2.5m kila mwezi ikifika zany ya mtu anapata 15m
Kununua nguo, viatu na mapambo bila mpangilio.
Hivi sijui akili zao zipoje yaani unakuta mwanamke kabati la milango 3, begi kubwa 2 yamejaa minguo yake na nyingine wala hajawahi kuzivaa halikadhalika kwenye shelfu ya viatu tena ile ya ngazi 7 imejaa viatu vyake tu lakini still akiona nguo/viatu huko road yeye anaendelea kununua tu.
Tukija kwenye michango ya harusi sasa hapo hadi nina waoneaga huruma yaani unakuta mtu kila mwezi anaratiba ya kuchangia harusi, kitchen party, send off n.k.
Wengine pesa zao zinamalizika kwa babu bagamoyo kuroga madanga yao.
Tunajenga makwetu.....!!!!! Hi hi hi hi hi hi hi!!!!!
Yaani umegonga mule mule kaka.... Wala usijisumbue eti awe amesoma sijui mpaka Harvard na masters... Wee oa ili upate pakujipoza pale ambapo bado unayemuwinda anapiga chenga za mwili kama messi.Ndio maana katika kuoa SITOANGALIA KAZI WALA ELIMU KUBWA YA MWANAMKE....kwa sabab hata ukiviangalia, bado mchango wao kuhusu maisha ni mdogoo nabado anakupa tabu za ujuaji ujuaji na haki sawa .
hawa wameumbwa kuzaa !!!
Kasome maandikoAlafu bado mnataka haki sawa,,,mtaendelea kukandamizwa kwasababu ya kumwachia mwanaume majukumu yote,maisha kusaidiana.