Wanawake huwa mnapeleka wapi pesa zenu?

Njoo tukuonyeshe tunakopelekaga
 
Si mshukuru kuwa hatuombi hela ya saloon na makeup?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana katika kuoa SITOANGALIA KAZI WALA ELIMU KUBWA YA MWANAMKE....kwa sabab hata ukiviangalia, bado mchango wao kuhusu maisha ni mdogoo nabado anakupa tabu za ujuaji ujuaji na haki sawa .


hawa wameumbwa kuzaa !!!
Yaani umegonga mule mule kaka.... Wala usijisumbue eti awe amesoma sijui mpaka Harvard na masters... Wee oa ili upate pakujipoza pale ambapo bado unayemuwinda anapiga chenga za mwili kama messi.
Ni kuwagegeda tuu hawa sio kutegemea mengine toka kwao.
 
Pesa yao chungu sana ila sasa pesa zetu wanavyozitolea macho kama hchi kijamaa hapa chini...![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Alafu bado mnataka haki sawa,,,mtaendelea kukandamizwa kwasababu ya kumwachia mwanaume majukumu yote,maisha kusaidiana.
 
Wig - wananunua laki 2 kichwani linakaa wiki 1 kucha elfu 70 kwa mwezi send off ya best ake sare laki na nusu anavaa mara moja tu nguo akivaa mara tano fashion trend imepita makeup na vikorokoro vyake mshahara umekata na nyingine unamuongezea wewe kwenye mshahara wako mara bila ivo ujue uwezi kumpenda utamuona wakawaida ndo utakutana na ule msemo “nilipokuwa namfukuzia nilikuwa namuona mzuri ila toka niwe nae amekuwa wakawaida” jua hapo aliyekuwa anamuhudumia mwanzo kabla yako amekuachia majukumu kama unabisha muache ampate mwenye kutoa huduma zaid yako uje umtamani tena urudi kwa magoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…