Wanaume wanachukulia wanawake wote ni sawa.
Huo ndio mwanzo wa matatizo.
Wanawake wako tofauti sana nikwambie. Na mahitaji yao, na expectations zao pia zinatofautiana. Kama ulikuwa unatafuta magic-formula, umeanza vibaya, rudi nyuma anza upya.
Ila nitakusaidia kidogo.
Rule 1: Mjue mwenzi wako.Kwa uhusiano wowote unaouanza, hakikisha unamtafuta kumjua huyo mwenzi wako. Usi-assume tu kwamba atakuwa anataka/expect hiki na kile kwa sababu tu washkaji zako wamekwambia, au kwa sababu tu umesoma kwenye forum, au kwa sababu uliyeachana naye ndio vile.
Rule hii itakusaidia hata katika mahusiano mengine yasiyokuwa ya mapenzi, kama na bosi wako kazini.
Rule 2: Mpe atakacho kama huwezi mwambie wazi
Ukishajua anataka nini bwana usimbanie. Unless hujafika. Mpe na usisubiri upewe.
Kama kipo nje ya uwezo wako. Mwambie, na umeeleweshe.
....
Rule nyingine zinakuja kwenye kitabu changu kitakachochapishwa hivi karibuni ... stay tuned ...
....
Rule 30: Mkamue hasa
Unaweza ukawa unadhani ukimpeleka ki-staarabu ndio atakupenda zaidi. Mara nyingi utaumia kwasababu kama yeye ni mmoja wa wale wanaoangalia sana TV, atakuacha na hutajua ni kwa nini. Mkamue hasa, sehemu yoyoye, saa yoyote, kwa staili zote, (kadiri pumzi yako inavyokuruhusu).
Ila akisema inatosha, tulia. Na tumia muda huo kukusanya nguvu maana hutaki ukirudi ulale baada ya secunde mbili.
....