Wanawake, Jifunzeni kuongea zaidi ya kulalamika

Si umesema mwenyewe kuwa ndivyo tulivyotengenezwa!! Au umecopy mahali bila kusoma kilichomo? Angalia hapo mwanzoni kabisa.
ndio nimeona....hahaha
 
Kwaile report ya Jana, ilinibidi tu nijizimishe na bapa kubwa aiseeee..... Maana sio kwa machungu yale aiseeee....[emoji25] [emoji25]
Hatari comrade...kichwa kiliniuma jana aseeh
 
Kulalamika ni tabia ya watanzania wote hadi mkulu

kunasiku nitaileta hiyo mada huku ndani kwa lengo la kuelimishana wote
 
Sasa kama ushajua ndivyo tulivyotengenezwa kwanini msijifunze kutuelewa hivyohivyo tunavyolalamika!! Hivi mbona sasa sisi ndio tunatakiwa tuishi nanyi kwa akili?

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Leo Josevert kaongea ukweli. Mnaongea sana akina espy.
 
Jamaa yangu naona umeshajichukulia mmoja hapa Jf hongera, ila pole kwa kupata mlalamikaji
 

We mbna inaonekana umekubuu ukakubuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…