Wanawake jifunzeni kutoka kwa kajala

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
wanawake wa jf naomba mjifunze kutoka kwa kajala mchague wa kuolewa nae na mchunguze sio umeona jamaa ana pesa zake wewe from nowhere..
Unaingia mapenzini nae bila kujua hizo hela katoa wapi yatakuja kuwakuta kama yaliyomkuta mdogo wangu kajala
inasikitisha but ni lazima mjifunze kuchunguza mtu wa kuolewa nae na hata mkiwa katika ndoa ridhikeni na kipato chenu ni hayo
tu waungwana
 
umesahau muwa wengine wapo pale kwa money so ndoa imivunjima wala sio issue kwao
 
Tupe story kamili... huyo Kajala yamemkuta yepi?
Kafungwa miaka saba
Kwa kosa la kuuza nyumba iliyokuwa inashikiliwa na serikali baada ya mumuwe kuhusika na kosa la money laundry
 
Kafungwa miaka saba
Kwa kosa la kuuza nyumba iliyokuwa inashikiliwa na serikali baada ya mumuwe kuhusika na kosa la money laundry


Kajala si nimuigizaji? Naomba niwekee picha kabla sijachangia topic....
 
Duuh kwahyo kwenye tasnia hatukonaye kwa kipindi hicho(miaka 7)?
 
wanaume....!!!! acheni waitwe wanaume...
huyu binti hajawahi kuwa na relationship iliyo stable. alikua gf ma P Funk (Majani). Akaletewa mwanamke mwingine wakawa wanaishi wanawake wawili humo ndani nyumbani kwa mama yake P Funk. Kazaa na huyu mvuta bangi. yaani shida sana mabinti zetu hawa. akiwa mapenzini hata umwambie vipi hatakusikia, sanasana utaonekana unatia kiwingu. dah... namuonea huruma sana binti huyu.
 
Simjui huyo dada, but its such a pity.. Miaka 7 yote inakua wasted! Daah..
 
Kesi inanguruma hajafungwa bado ila kosa aliloshtakiwa nalo halina dhamana-m.laundering aka kutakatisha fedha chafu
 
Reactions: EMT
Dah! Hapo Nitajifunza kuchagua mwenye pesa za halali.
 
Reactions: EMT
Kajala si nimuigizaji? Naomba niwekee picha kabla sijachangia topic....
Ndio ni muigizaji ila bahati mbaya sana natumia simu ningekuwa natumia pc ningeweka picha ila wenye kutumia pc na mwenye kuweza kuweka picha atusaidie
 
Kajala ndo huyu jamani, ila bahati mbaya yake tu.
 
I wanted to make sure... Yeah' ndio mwenywe... Pole zake jamani, Sijui P-Funk hii habari kaichukulia vipi... Hili ni tatizo ambalo laweza mkuta yeyote yule. Ana bahati mbaya yake tu... Genuinely speaking wanaume tegemezi, Wavivu, wasiokua na mwelekeo, wasioeleweka wamekua wengi mno, Kiasi kwamba unapo pata such a man as a Lady wamshukuru Mungu kua sasa nimefika kivulini (hata kama una pesa zako mwenyewe); So sad.... I feel for her.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…