Why not? Tena nikipata mmoja inakuwa ni hat trick for me.
Kweli sasa am serious... Naongea na Mod... Naweka thread ya kujifunzia... hizi post inabidi niwe napitia mara kwa mara... Hivo nitamwambia ahamishie huko. Hapa nimepata terms mpya... "back to back"
Nime observe hili... Messi is a Great and an Excellent player kuweza achieve hayo in a season.
Ole Gunnar yawezekana ni mchezaji wa kawaida tu ila a Lucky one.
Robbie Fowler and Michael Owen ni Great Players...
Will you be able to give us equal concentration at par? :thinking:
Will do that sasa hivi.... lol... Ngoja nim beep Paw, Roulette leo kanikaushia! lol
Ana kingine cha kumiss?
Kafungwa miaka saba
Kwa kosa la kuuza nyumba iliyokuwa inashikiliwa na serikali baada ya mumuwe kuhusika na kosa la money laundry
hakuna kocha anayechaguliwa wa kumpanga, maisha ni mapito tu.
Na haramu zote tamu., wataenda endeleza mapenzi huko huko gerezani.
I wanted to make sure... Yeah' ndio mwenywe... Pole zake jamani, Sijui P-Funk hii habari kaichukulia vipi... Hili ni tatizo ambalo laweza mkuta yeyote yule. Ana bahati mbaya yake tu... Genuinely speaking wanaume tegemezi, Wavivu, wasiokua na mwelekeo, wasioeleweka wamekua wengi mno, Kiasi kwamba unapo pata such a man as a Lady wamshukuru Mungu kua sasa nimefika kivulini (hata kama una pesa zako mwenyewe); So sad.... I feel for her.
kumbe bado hukum daah wabongo kwa uzush
wanawake wa jf naomba mjifunze kutoka kwa kajala mchague wa kuolewa nae na mchunguze sio umeona jamaa ana pesa zake wewe from nowhere..
Unaingia mapenzini nae bila kujua hizo hela katoa wapi yatakuja kuwakuta kama yaliyomkuta mdogo wangu kajala
inasikitisha but ni lazima mjifunze kuchunguza mtu wa kuolewa nae na hata mkiwa katika ndoa ridhikeni na kipato chenu ni hayo
tu waungwana
Mpe pole. . .
Kinachokuja kirahisi siku zote huondoka kirahisi.