Wanawake jifunzeni kutoka kwa kajala

Wanawake jifunzeni kutoka kwa kajala

Kweli sasa am serious... Naongea na Mod... Naweka thread ya kujifunzia... hizi post inabidi niwe napitia mara kwa mara... Hivo nitamwambia ahamishie huko. Hapa nimepata terms mpya... "back to back"

Nime observe hili... Messi is a Great and an Excellent player kuweza achieve hayo in a season.
Ole Gunnar yawezekana ni mchezaji wa kawaida tu ila a Lucky one.
Robbie Fowler and Michael Owen ni Great Players...

Was thinking the same thing. Kuwa na specific thread ya kujifunzia mambo kama haya ni better zaidi. I am developing an interest in rugby and was thinking the same thing ili AfroDenzi akikatie shule.
 
Will do that sasa hivi.... lol... Ngoja nim beep Paw, Roulette leo kanikaushia! lol
 
Will you be able to give us equal concentration at par? :thinking:

Why not? Ila yule ambaye atakuwa mgumu kuelewa, might need some more time. Ninachotaka ni kila mtu apige A kwenye somo langu. Shule yangu sio shule ya kata. lol.
 
Will do that sasa hivi.... lol... Ngoja nim beep Paw, Roulette leo kanikaushia! lol

Huyo Russian Roulette wala usimshtue asije akiniharibia dili kama alivyofanya kwenye ile biashara yangu ya kuuza a puppy. Nimemwona tokea jana claiming that s/he can teach you. Na kwa vile kuna potential student, nina wasiwasi nae, tena sana. Mambo yote kwa Paw.
 
hapa kunakoelekea kuna mtu ataenda kupigwa HAT TRICK SOON ngoja tuone mambo yanavyoenda
 
Ana kingine cha kumiss?
Kwakweli sidhani kama anacho zaidi ya urembo...
Ameanza mbwembwe zamani huyu binti, namkumbuka kipindi kile "Jite Ute" ya Col. Massawe

Sipendagi kulaumu linapokuja suala la mapenzi ila kusema za ukweli na kujaribu kuwa fair kwa sasa madada zetu type ya akina Kajala imekuwa ndio kama deal na ndio kama mtindo wa maisha.... inatakiwa pesa haijalishi umeipataje au imetoka wapi....
Dhana ya "kuchuma wote" haipo tena saivi na hii ni mbaya sana katika muelekeo wa kijamii...
Na saiv suala la ku-fall in love limekuwa gumu sana kwa vijana wa kawaida.....
Tumepotea sana, dada zetu tuokoeni maana nyie ndio wajenzi wakuu wa ulimwengu

 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kafungwa miaka saba
Kwa kosa la kuuza nyumba iliyokuwa inashikiliwa na serikali baada ya mumuwe kuhusika na kosa la money laundry

ni yule msanii wa bongo movie? kama ndie habari zake na picha zimo humuhumu jf.
 
hakuna kocha anayechaguliwa wa kumpanga, maisha ni mapito tu.

Na haramu zote tamu., wataenda endeleza mapenzi huko huko gerezani.
 
hakuna kocha anayechaguliwa wa kumpanga, maisha ni mapito tu.

Na haramu zote tamu., wataenda endeleza mapenzi huko huko gerezani.

Mmmmmh, Kongosho! Nimeshangaa habari kuwa wafungwa wa kike wanapata ujauzito jela, sasa nimekuelewa:decision:
 
I wanted to make sure... Yeah' ndio mwenywe... Pole zake jamani, Sijui P-Funk hii habari kaichukulia vipi... Hili ni tatizo ambalo laweza mkuta yeyote yule. Ana bahati mbaya yake tu... Genuinely speaking wanaume tegemezi, Wavivu, wasiokua na mwelekeo, wasioeleweka wamekua wengi mno, Kiasi kwamba unapo pata such a man as a Lady wamshukuru Mungu kua sasa nimefika kivulini (hata kama una pesa zako mwenyewe); So sad.... I feel for her.


Wanawake tafuteni masiha yenu. toka vijijini wanawake ndio watunzao familia ukija mjini ni mifano to
 
maskini mdadawa watu,tafanyaje...MAISHA YANAKABA
 
wanawake wa jf naomba mjifunze kutoka kwa kajala mchague wa kuolewa nae na mchunguze sio umeona jamaa ana pesa zake wewe from nowhere..
Unaingia mapenzini nae bila kujua hizo hela katoa wapi yatakuja kuwakuta kama yaliyomkuta mdogo wangu kajala
inasikitisha but ni lazima mjifunze kuchunguza mtu wa kuolewa nae na hata mkiwa katika ndoa ridhikeni na kipato chenu ni hayo
tu waungwana

Kajala ndio nani?
 
Mpe pole. . .
Kinachokuja kirahisi siku zote huondoka kirahisi.
 
Kila kazi na ujira wake. Huo ndio mshahara wa kaz yake hiyo.
 
Back
Top Bottom