AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Pal I can only see the video... No sound, ila namuona maskini kama anajikaza wakati wa kuongea.... Dah! na hao wadada mwingine na mtandio ndio ndg zake nini?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I wanted to make sure... Yeah' ndio mwenywe... Pole zake jamani, Sijui P-Funk hii habari kaichukulia vipi... Hili ni tatizo ambalo laweza mkuta yeyote yule. Ana bahati mbaya yake tu... Genuinely speaking wanaume tegemezi, Wavivu, wasiokua na mwelekeo, wasioeleweka wamekua wengi mno, Kiasi kwamba unapo pata such a man as a Lady wamshukuru Mungu kua sasa nimefika kivulini (hata kama una pesa zako mwenyewe); So sad.... I feel for her.
Sheria msumeno.
Kiukweli inasikitisha ila ndo hivyoI wanted to make sure... Yeah' ndio mwenywe... Pole zake jamani, Sijui P-Funk hii habari kaichukulia vipi... Hili ni tatizo ambalo laweza mkuta yeyote yule. Ana bahati mbaya yake tu... Genuinely speaking wanaume tegemezi, Wavivu, wasiokua na mwelekeo, wasioeleweka wamekua wengi mno, Kiasi kwamba unapo pata such a man as a Lady wamshukuru Mungu kua sasa nimefika kivulini (hata kama una pesa zako mwenyewe); So sad.... I feel for her.
Ana kingine cha kumiss?
Nimesema I can not hear the words... wewe umesikia? Can you please tell me... just in brief.
Kuwa amefungwa si kweli. Kesi yake imehairishwa mpaka tarehe 26 mwezi huu na amerudishwa rumande mpaka tarehe hiyo ambapo kesi itatajwa tena mahakamani. Hiyo video niliyoweka inaonyesha akirudishwa rumande. Jana upande wa mashataka ulishindwa kuwasilisha mahakamani mabadiliko ya mashataka kwa sababu DDP bado hajawapa ruhusa ya kufanya hivyo.
Yeye na mumewe wanashtakiwa kwa conspiracy, illegal transferring of ownership of a building and money laundering. Upande wa mashataka unataka kubadilisha mashataka baada ya wakili wa walalamikaji kudai kuwa mashataka yanayowakabili wateja wake hayaonyeshi ni nani aliyenunua hiyo nyumba na pia namba ya kitalu inamiss.
This is so informative EMT Thank you.... Waswahili bana.... Sasa hio ya kufungwa imetoka wapi? Hii clip si ni mpya jamani.. Dah!
I am here to inform you. lol. Kimsingi mleta mada tayari keshamhukumu Kajala hata kabla ya mahakama kufanya hiyo. Kwake she is guilty until proved innocent.
Hapa naona hamna jipya tena... Sasa yale masomo ya sports ya nursery sio mbaya ukiniongezea moja leo.... Nimejifunza na kuelewa "hat trick" ongeza somo moja leo.... Before that kwanza kwa nini ijulikana kama hat trick? What is so speacial?
The term "hat Trick" originated from the cricket sport. According to the Extended Oxford English Dictionary 1999 Edition, the term "came into use after HH Stephenson took three wickets in three balls for the all-England eleven against the twenty-two of Hallam at the Hyde Park ground, Sheffield, United Kingdom, in 1858. A collection was held for Stephenson and he was presented with a cap or hat bought with the proceeds."
In football, a hat-trick occurs when a player scores three goals in a single game. In common with other official record-keeping rules, goals in a penalty shootout are excluded from the tally.
Football players achieving hat-tricks are usually rewarded by being given the match ball to keep (take home). So, siku ukiona hubby amerudi home na match ball, jua kascore a hat trick. lol
A rare variation of the hat-trick, commonly referred to in England as the perfect hat-trick, is when a player completes a hat-trick by scoring one goal with the right foot, one goal with the left foot and one goal via a header.
Why is so special? Well, few players can do that. The only hat-trick scored in the World Cup Final was by Geoff Hurst, playing for England in the 1966 final.
Upo mpaka hapo? Somo la leo linatosha. Sitaki kukuchanganya. Remember bado uko nursery.
ila mungu amsaidie seven years ni mingiI wanted to make sure... Yeah' ndio mwenywe... Pole zake jamani, Sijui P-Funk hii habari kaichukulia vipi... Hili ni tatizo ambalo laweza mkuta yeyote yule. Ana bahati mbaya yake tu... Genuinely speaking wanaume tegemezi, Wavivu, wasiokua na mwelekeo, wasioeleweka wamekua wengi mno, Kiasi kwamba unapo pata such a man as a Lady wamshukuru Mungu kua sasa nimefika kivulini (hata kama una pesa zako mwenyewe); So sad.... I feel for her.
The term "hat Trick" originated from the cricket sport. According to the Extended Oxford English Dictionary 1999 Edition, the term "came into use after HH Stephenson took three wickets in three balls for the all-England eleven against the twenty-two of Hallam at the Hyde Park ground, Sheffield, United Kingdom, in 1858. A collection was held for Stephenson and he was presented with a cap or hat bought with the proceeds."
In football, a hat-trick occurs when a player scores three goals in a single game. In common with other official record-keeping rules, goals in a penalty shootout are excluded from the tally.
Football players achieving hat-tricks are usually rewarded by being given the match ball to keep (take home). So, siku ukiona hubby amerudi home na match ball, jua kascore a hat trick. lol
A rare variation of the hat-trick, commonly referred to in England as the perfect hat-trick, is when a player completes a hat-trick by scoring one goal with the right foot, one goal with the left foot and one goal via a header.
Why is so special? Well, few players can do that. The only hat-trick scored in the World Cup Final was by Geoff Hurst, playing for England in the 1966 final.
Upo mpaka hapo? Somo la leo linatosha. Sitaki kukuchanganya. Remember bado uko nursery.
Hilo tu
Wapi kamusiii? au ngoja niende data star.....
Mbona kwenye blogs kibao wamesema kuwa kashaHukumiwa 7 years??Kuwa amefungwa si kweli. Kesi yake imehairishwa mpaka tarehe 26 mwezi huu na amerudishwa rumande mpaka tarehe hiyo ambapo kesi itatajwa tena mahakamani. Hiyo video niliyoweka inaonyesha akirudishwa rumande. Jana upande wa mashataka ulishindwa kuwasilisha mahakamani mabadiliko ya mashataka kwa sababu DDP bado hajawapa ruhusa ya kufanya hivyo.
Yeye na mumewe wanashtakiwa kwa conspiracy, illegal transferring of ownership of a building and money laundering. Upande wa mashataka unataka kubadilisha mashataka baada ya wakili wa walalamikaji kudai kuwa mashataka yanayowakabili wateja wake hayaonyeshi ni nani aliyenunua hiyo nyumba na pia namba ya kitalu inamiss.
ila mungu amsaidie seven years ni mingi