πππππAsante KWA kutukumbusha
Na iPhone watazipataje sasa? Walimbwa kuwa na tamaa ya fisi.Kina Dada mnapokua shuleni, vyuoni na hata kabla ya ndoa jihadharini sana na tabia mbaya.
Kuna mwenzenu alipokua chuo alijipiga picha za uchi na kupigiwa simu inayoanzia na 0713. Sasa hivi Ni mmama, ameolewa na ana cheo kikubwa sana serikalini lakini picha zake watu wanazo.
Kila Mara vijana anaowaongoza wakitaka kumtoa kwenye mood nzuri wanamtumia picha mojawapo alivyokua anafanya ujinga.
Lete full story ya 24/09/17 muda tunao, hakuna mpira na Leo Ni weekend.Mwanamke ni mtu wa kuongozwa...tunakosea sana kuwaamini hawa watu halafu eti tunawatanguliza mbele......sitoisahau tarehe 24/09/2017 ..hili tukio lilinifanya nione kujiweka kwangu nyuma kama mtoto wa kiume ni makosa makubwa .....TUWAONGOZE DADA ZETU JAMAANI.