Wanawake jihadharini mnapokuwa vyuoni au na vyeo vya chini

Wanawake jihadharini mnapokuwa vyuoni au na vyeo vya chini

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
9,446
Reaction score
17,017
Kina Dada mnapokuwa shuleni, vyuoni na hata kabla ya ndoa jihadharini sana na tabia mbaya.

Kuna mwenzenu alipokua chuo alijipiga picha za uchi na kupigiwa simu inayoanzia na 0713. Sasa hivi Ni mmama, ameolewa na ana cheo kikubwa sana serikalini lakini picha zake watu wanazo.

Kila Mara vijana anaowaongoza wakitaka kumtoa kwenye mood nzuri wanamtumia picha mojawapo alivyokuwa anafanya ujinga.
 
Dah Mkuu umenena vyema na mfano murua kabisa, shida ya hawa watoto wa kike wakiwa chuo wanaona wamemaliza kila kitu na 0713 ndo fasheni yao alafu wengi sana wanajirekodi picha za uchi lakini tu hazivuji tatizo kubwa ni ulimbukeni na ku-fake life.
 
Kina Dada mnapokua shuleni, vyuoni na hata kabla ya ndoa jihadharini sana na tabia mbaya.

Kuna mwenzenu alipokua chuo alijipiga picha za uchi na kupigiwa simu inayoanzia na 0713. Sasa hivi Ni mmama, ameolewa na ana cheo kikubwa sana serikalini lakini picha zake watu wanazo.

Kila Mara vijana anaowaongoza wakitaka kumtoa kwenye mood nzuri wanamtumia picha mojawapo alivyokua anafanya ujinga.
Na iPhone watazipataje sasa? Walimbwa kuwa na tamaa ya fisi.
 
Mwanamke ni mtu wa kuongozwa...tunakosea sana kuwaamini hawa watu halafu eti tunawatanguliza mbele......sitoisahau tarehe 24/09/2017 ..hili tukio lilinifanya nione kujiweka kwangu nyuma kama mtoto wa kiume ni makosa makubwa .....TUWAONGOZE DADA ZETU JAMAANI.
 
Lete full story ya 24/09/17 muda tunao, hakuna mpira na Leo Ni weekend.
 
Back
Top Bottom