Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Swali: Kutongoza ni nini?
Jibu: Kutongoza ni kumbembeleza mwanamke akubali shida zake ziwe zako!
Hutaki unaacha tu..
 
Ni kweli wanawake mnahitaji kuhudumiwa na wawanaume ila jitahidini kuficha shida zenu mwanzoni tu mwa mahusiano mana mtajikuta watu wanapiga kisha wanatembea yani ni kama vile kununua malaya Riverside kisha kila mtu anachukua hamsini zake.
Weekend nilikuwa Mbezi terminal kwenye mgahawa mmoja ghorofani pale, Bwana mmoja wa makamo aliketi na mama mmoja mwenye kadirio la age ya 40s, ni kama walikutana pale kufahamiana ili walianzishe, ila nilichokuwa namsikia yule mama akiongea ilikuwa ni kulalamika mwanzo mwisho.

Mara hajui kodi ya nyumba atalipaje mwezi huu, mara mgongo unauma alipiga x-ray hana hela ya mazoezi, sikukuu zinakaribia hajui ataendaje nyumbani na watoto watavaa nini nk, mwenzake akiyumbisha mazungumzo kinamna yeye atajibu kidogo, anarudi kulekule.
 
UKIANZA KU-DATE NA SLAY QUEEN WA KIBONGO BASI TARAJIA HAYA:

1. BIRTHDAY LOADING....

2. SIMU IMEPASUKA KIOO...

3. WEEK HII NATAKA NIKASUKE NYWELE...

4. KODI INAISHA MWEZI UJAO.....

5. ZAMU YANGU KULIPIA UMEME NA MAJI KESHOKUTWA....

6. NATAKA NIKABADILISHE KUCHA....

7. MDOGO WANGU KAISHIWA NA ADA ANATAKIWA ARUDI CHUO...

8. KUNA KIJORA/DERA/ GAUNI JIPYA NIMELIPENDA PALE SOKONI....

9. BANDO LANGU LA WIKI LIMEISHA, NIUNGE LA MWEZI....

10. REJESHO LA KIKOBA (MCHEZO) ZAMU YANGU.....

........ETC ETC
 
Nyota njema huonekana asubuhi, yaani kama unaona burden mwanzoni ya kumsaidia mwanamke au kufanya majukumu yako kama mwanaume ndio kwenye hiyo ndoa utaweza?

Wacha maneno yako, we huna hela tafuta sana la sivyo utaacha sana wanawake kwa ubahili wako.. Najua wabahili wenzio watatokwa povu mno.
 
Watu wanatuma hata hawajakufahamu sura, sema basi hela ngumu mkuu. Upo sahihi pia kwa upande wako maana huenda ulikuwa na malengo ya kweli na hicho ndicho kilikuwa kipimo chako nae hakujua hilo....

Hivyo ikawa vise versa.... Sema nini mkuu sikuzote mwanamke kwa mwanaume ujifeel comfortable akihudumiwa hata kwa kile ana uwezo nacho kujihudumia.
 
A
Au sio πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Daah noma πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
🀣🀣🀣🀣Kwa hiyo mke akimeza mswaki Hela ya operation inatakiwa au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…