Nimepokea kwa masikitiko makubwa kisa cha mauaji ya muuguzi Mirembe aliyeuawa na mumewe kikatili.
Sababu pekee inayoweza kumfanya mwanaume kufanya ukatili huu ni wivu wa mapenzi.
Bahati mbaya wanawake huwa wanajisahau na kudhani mtu waliyezoea kumuona mkimya au boya, hawezi kuwafanya chochote.Hii huwafanya washindwe hata kutumia silaha kubwa ya kinga "kujinyenyeza"ili wasipatwe na madhara kama haya.
Maana hakuna mwanaume anayeendelea kupambana na mwanamke aliyejishusha na kujinyenyekeza kwake.Najua ni vigumu mwanamke kufanya hivi hasa kwa mtu maskini.Ila ni bora afanye hivyo kwa muda hasa usiku ili kujiweka mbali na hatari halafu kukicha tafuta njia salama ya kumaliza tatizo.
Bahati mbaya kama ulikubali kuolewa,ukazaa na kuishi na mwanaume aliyejitoa kwako mkiwa bado mko na hali ya chini,ni hatari sana kumbadilikia baadae kwa sababu amekuwa siyo type yako tena.
Ni bora kukataa kuolewa kama huwezi kuishi kama mwanamke.
Kama una chembe chembe za uanaharakati wa haki sawa za kijinsia(feminism) ni bora usiwaze kabisa kuolewa.Hii dunia ya waafrika ni kitu tofauti sana na maisha yenu ya mitanfaoni