whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
kuna mjaluo alitaka kunichinja chumbani kwake nilimtwisha coffee table mbona alipata fahamu akiwa emergency pale muhimbili . Huwa sifariki kirahisi kirahisirahisi π
π
. Nilivyoinua meza hata sielewi nilimbamiza ya kichwa kisha nikatoka nduki .ππ
Mapenzi huwa yanaisha . Yanachakaa , yanadhoofika . Yanafubaa ikifikia hatua hii lazima utolewe roho tu . ππΎππΎ Mtu anayekupenda hawezi kukutoa uhai . Ukiona vitisho vimeanza iwe mke au mume au hawara kila
Saa anasema "nitakuua " ujue penzi limeshaisha kitambo . Just Exit faster π π π π