Wanawake, kama hauko tayari kuolewa ni bora uwe wazi

kuna mjaluo alitaka kunichinja chumbani kwake nilimtwisha coffee table mbona alipata fahamu akiwa emergency pale muhimbili . Huwa sifariki kirahisi kirahisirahisi πŸ˜…πŸ˜… . Nilivyoinua meza hata sielewi nilimbamiza ya kichwa kisha nikatoka nduki .😜😜

Mapenzi huwa yanaisha . Yanachakaa , yanadhoofika . Yanafubaa ikifikia hatua hii lazima utolewe roho tu . πŸ™†πŸΎπŸ™†πŸΎ Mtu anayekupenda hawezi kukutoa uhai . Ukiona vitisho vimeanza iwe mke au mume au hawara kila
Saa anasema "nitakuua " ujue penzi limeshaisha kitambo . Just Exit faster πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Hakuna advantage yoyote ya kuchepuka acha kuhalalisha haramu. Jenga mahusiano mazuri na mkeonkwa kutumia ule uwezo na akili Mungu alizowapa wanaume.

Mpende mke wako, mtunze, muongoze, mheshimishe atakuheshimu, atakutii na kuwa baraka kwako sanaaaa.

Hayo unayoyafuata kwa mchepuko kama hayapingani na Mungu yatafute kwa mkeo utayapata tena kwa ubora ulio juu ya viwango

Uzinzi haufai kwa mwanamke wala mwanaume na tunaambiwa.....

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 

πŸ’£πŸ’¦
 
Hana ndoa huyo alikuwa anahojiwa Mwaka Jana kwenye channel flan hivi ya television. Hana mume.
Anachukua tu bitchboy ..Hawa wanaume wavivu wasiotaka shida mjini
Dogo, unaelewa unachozungumza?
 
Usije ukawa umechanganya na Anna makinda,getrude mongela mumewe wako wote tena mzee hakosi miaka 80 namjua hadi jina
Huyo kijana hajui alisemalo! Wakati wa corona kijana wake RC wa Arusha aliwaweka karantini mama na baba huko mwanza kwa taarifa yake. Aache kuongea asolijua
 
Huyo kijana hajui alisemalo! Wakati wa corona kijana wake RC wa Arusha aliwaweka karantini mama na baba huko mwanza kwa taarifa yake. Aache kuongea asolijua
Nimemshangaa sana huyu mtu
 
Sasa kwanini ugawe utamu kwa wengine huku ukimaindiwa eti coffee table.

#YNWA
 
Ukisemacho nikweli mkuu,nakunukuu kama huwezi kuishi kama mwanamke niheri usiolewe,katika maisha yandoa kuna kuolewa,nakuoa,hakuna kuoana,kwahyo majukum ya MTU anaeolewa yanajulikana,namajukumu ya muoaji yanajulikana ktk jamii zetu zakiafrica,uanaharakati katika ndoa,nimoja yachangamoto kubwa Sana ktk ndoa zaleo,maneno kama utajua mwenyewe,nimesema sitaki,kobo,mara mwanaume gani unagubu hivyo mbona hauko kama wenzako,namambo yanayofanana nahayo nimiongoni mwa hatari zinazoweza pelekea magomvi yanayopeleka vilema navifo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…