Wanawake kama hawa wapo wapi jamani?

Siku hizi mitoto mingine inatuhibisha unakuta jamaa limevaa kipuli sikioni la lina piga goti et kumvalisha pete mwanamke.
Yaani wakati mwingine unatamani adi upige mtu vibao sijui wanatoa wapo izo nidhamu ..yaani imefikia hatua mwanamke anashindwa kubeg ndani ya familia kisa hizi mambo
 
wapo haven, duniani huwezi kuwaona, ukifa utawakuta kule!
 
Tumejaa tele
Nature ya mazingira aliyokulia mtu pia huchangia
 
Ni tamaduni zetu hizo
Kule kijijini kwetu Hadi watu wazima hufanya hivyo..anaweza akawa anapita njiani atasimama anapiga magoti anasalimia..

Japo kwa miaka hii hizi tamaduni zimeanza kufifia

Kama umelelewa kwa tamaduni hizo naamini bado zitakua kwenye damu japo zinaweza fifishwa na mazingira uliyopo sasa ila haiondoi uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…