Wanawake kama hawa wapo wapi jamani?

Wanawake kama hawa wapo wapi jamani?

Tupooo, pesa zinatafutwa tuu ili mradi awe na mipango inayotekelezeka lakini, siyo ya kufikirika[emoji3] [emoji3]
Hayo ni maneno kwa kuandika lakini hayatoki moyoni mnajielewa. Hakuna hata mmoja hataongea ukweli lakini ni kwamba baada ya beijig mambo yote yaribadirika.
 
Hivi ndio engangement inatakiwa na sio mwanaume kupiga goti ni upumbavu..mwanamke piga goti uvishwe pete au uvishe
Siku hizi mitoto mingine inatuhibisha unakuta jamaa limevaa kipuli sikioni la lina piga goti et kumvalisha pete mwanamke.
 
Back
Top Bottom