Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sasa tutawatakaje wakati mmeshaolewa? Au mnataka kuchepuka?Tupo Sema hamtutaki, mnatuona washamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tutawatakaje wakati mmeshaolewa? Au mnataka kuchepuka?Tupo Sema hamtutaki, mnatuona washamba.
Hahaaa, Babu wewee nilikutukana lini tena jamani[emoji30] [emoji3] ,am very sorry , na ahsante Kwa compliment piaaSiku hizi una busara sana. Nimetokea kukupenda japo ulinitukana sana siku ile. Nimekusamehe lakini
Mkuu nmecheka sana kwamba mipango inayotekelezekaTupooo, pesa zinatafutwa tuu ili mradi awe na mipango inayotekelezeka lakini, siyo ya kufikirika[emoji3] [emoji3]
Njoo tuyajenge mkuuu[emoji3]Aisee nibahatike nikupate
Unapasua roho yangu bibie...Njoo tuyajenge mkuuu[emoji3]
Hahahah khaaa! Ushasahau mara? Wewe bhana usinikumbushe nisije nikakupiga faini ambayo hutaweza kulipaHahaaa, Babu wewee nilikutukana lini tena jamani[emoji30] [emoji3] ,am very sorry , na ahsante Kwa compliment piaa
Unapasukaje roho na miye nipo jamanii[emoji30] usife banaUnapasua roho yangu bibie...
Niko serious financial servicesUnapasukaje roho na miye nipo jamanii[emoji30] usife bana
Nikumbushe kidogo tu babu, seriously Mimi nilimtukana mtu humu tena babu yangu mheshimiwa kabisaa[emoji3]Hahahah khaaa! Ushasahau mara? Wewe bhana usinikumbushe nisije nikakupiga faini ambayo hutaweza kulipa
Nipe rushwa kwanzaNikumbushe kidogo tu babu, seriously Mimi nilimtukana mtu humu tena babu yangu mheshimiwa kabisaa[emoji3]
Kabisa. Wako wengi sana tu mkuuWapo Wengi Sana!!!
Hahaaa,ndyo isiwe mipango hewa,mambo ya kuniahidi utaninunulia BMW mwaka huu huu wakati hatuna hata pesa ya kulaaMkuu nmecheka sana kwamba mipango inayotekelezeka
Hilo la wewe kuchepuka tulishakubaliana usithubutu. Usithubutu asilani. Litakalotokea usije ukasema sikukuonyaMume sijawahi kukuruhusu na nilikuuliza kama na mimi ninaruhusiwa kuchepuka?
😂😂😂😂Hilo la wewe kuchepuka tulishakubaliana usithubutu. Usithubutu asilani. Litakalotokea usije ukasema sikukuonya
Hayo ni maneno kwa kuandika lakini hayatoki moyoni mnajielewa. Hakuna hata mmoja hataongea ukweli lakini ni kwamba baada ya beijig mambo yote yaribadirika.Tupooo, pesa zinatafutwa tuu ili mradi awe na mipango inayotekelezeka lakini, siyo ya kufikirika[emoji3] [emoji3]
Siku hizi mitoto mingine inatuhibisha unakuta jamaa limevaa kipuli sikioni la lina piga goti et kumvalisha pete mwanamke.Hivi ndio engangement inatakiwa na sio mwanaume kupiga goti ni upumbavu..mwanamke piga goti uvishwe pete au uvishe