Wanawake Kama Mko Hivi Basi Tusilaumiane..!!

Shughuli inavyokuwa pevu hivi kuna muda wa kuongeaga hayo kweli zaidi ya kudeka na kusikiliza maneno matamuu,lainiii kutoka kwa bae daaah kweli watu wanamiss vitamu badala ya kishiri utamu unalalamikaa? Hata siamini
Ohoo, mi ndo nakwambia sasa, mijitu imekaza kutoa miongozo na maswali ya kushtukiza utafkiri bungeni
 
teh ndo mana nimeachana na kisura ........nw niko na mtu wa kawaida sana huwa hana maswali ni shughuli tu
Kumbee?? Basi itabidi sote tuhamie kwa makurumbembe
 
Utakuwa humlainishi vizuri..lazima akupige questionnaire za kutosha
 
Ujue creativity ZERO, mpwa suala Sio kusugua tu, kama Dr nanihii aliyotuma ile meseji ya kumsugua demu wake, it is more than that.
Sasa kama suala sio kusugua, suala ni nini mpwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…