Wanawake kama ndio mnadanganyana hivi kututeka wanaume mwenzenu nimeng'oa meno

watoto wa kitanga wana teknologia kumbwa sikuizi... kutoka maji ya kuoga ya eriki na mdarasini sasa ni mwendo wa mi finger tu..

bwahaahahaaa!
 
Mkuu inaonekana una mikosi katika hii sector.
Tulia tu kwanza mana kila ukiopoa unaopoa na majanga.
 
Yan Kidole kina pita Pasipo Ubish wowote itakuwa

Napata Ukakasi atheeee

Kwa mwanaune kuingiziwa kidole sio lais kias icho

By ze way uwe shabik wa michezo iyo
 
Tunavalishwa mkanda mmoja kiunoni halafu nakugegeda. Ninavyozidisha mapigo ndiyo kipimo kwenye mkanda kinavyozidi kupima vizuri.

Hapo vipi? Utanisaidia kupima?
Hahahaa, kumbe na wewe ong'wise huwa una engage katika jokes Kama hizi?, kuna member mmoja aliwahi kukomenti kuwa huwa anamregard Kiranga as a thing, rather than a human being, Nadhani hii inaweza kuwa proof kwamba na wewe ni binadamu mwenzetu.
 
Hahahaa, kumbe na wewe ong'wise huwa una engage katika jokes Kama hizi?, kuna member mmoja aliwahi kukomenti kuwa huwa anamregard Kiranga as a thing, rather than a human being, Nadhani hii inaweza kuwa proof kwamba na wewe ni binadamu mwenzetu.
Kiranga is very much a human being.

A humble human being at that.

He just gets into this Asimovic logical mode that dissect truth tables with boolean heuristics coupled with Cartesian coordination in Calabi Yau manifolds that scares some people more than bill collectors.
 
Mkuu ulikaa position mpaka huo mdole ukapita? BT nashukuru nimeongeza siku kwa kucheka sanaa
 
Watu mna mawazo , Hahahahaha aisee
 
Unaona sasa? Hakuna nilichoelewa hapo, zaidi ya mistari miwili ya juu, ndio maana Watu wanakudought.
 
ha ha ha ha hah ah ah ah wacha nipite nimechekaa, sasa huyu binti wa korogwe, Korogwe si ni shamba haya mambo ametoa wapi? MAPENZI YA KIHUNI HAYO, Na hili tatizo ni kwamba wanaume wengi sasa hivi wanaliwa 0713 na huku wana mademu, kwahiyo wanapenda akifanya na yeye ashtuliwe kwa dole ndo anamudu shughuli, sasa NADHANI WANAWAKE WANADANGANYANA KUWA WANAUME WANAPENDA, Kumbe wanakutana na wale wanaume wanaoliwa viboga pia, unatakuwa wanasema wenyewe wawekwe finger HA HA HA HA HA, Hayo mapenzi hamna kabsaa. hata kwa mwanamke pia si ruhusu kuwekwa hicho kidole huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…