Wanawake kama ndio mnadanganyana hivi kututeka wanaume mwenzenu nimeng'oa meno

Wanawake kama ndio mnadanganyana hivi kututeka wanaume mwenzenu nimeng'oa meno

Kucha hazijakuchubua? Ulijisikiaje
 
Hahahahahahahahahhaahhaahahh poleee sanaa jamaa. Aiseee kweli mikasa hii hamna hafadhali. Bora tuu uhustle maisha. Tafta pesa uliyepangiwa atajitokezaa tuu
 
nafikiri story nyingi humu jamiiforums ni za kutunga. sina iani na hii story yako. Kwa aliyeisoma ile story yako ya mwanzo na kuja kuisoma hii pia kwa umakini hataweza kuamini kinachotokea.Nahisi umekaa sehemu ukala ugali ukashiba then ukaanza kuandika ukisubiri comment za wwtu mbalimbali.
No wonder hata watu wengine wakieta story zao watu wanaamua kuchangia hovyohovyo
 
nawasalimu wakuu.

Wakuu nianze kwa kutoa shukurani kwa mlionipa pole na kunishauri kuhusu lile janga langu lililonikuta sinza baada ya yule msichana mwenye mashetani aliyeniaibisha kwa kufanya nyumba nzima wajue nimeingiza demu.

Basi baada ya tukio lile lililonifanya niazimie kuhama nimeamua nije zangu korogwe nyumbani.huku kuna shemeji/wifi yenu nilisoma naye sekondari lkn sikufanikiwaga kufanya naye kitu chochote basi tokea ijumaa mi nipo huku korogwe lkn yeye alitoka kidogo alikuwa kijiji cha jirani kinaitwa mashewa kwa bibi yake.

Akiwa huko tukawa tunachat huku mi nkimchombeza kwamba wanawake wa mjini wamenishinda nimekuja kumfata yeye malkia wangu basi binti akaniahid kwamba siku amnayo tutaonana nitafurahia mahaba mazito ya kitanga basi Jana jtatu ndo alirudi kutoka huko kijijini nkaenda kumpokea na tukatafuta eneo zuuri la kulitumia kuupitisha usiku tukisherehekea ufunguzi wa penzi letu.

Tukapiga story nyiingi na mipango mingi ya kimaisha na kujenga familia huku nikizingatia ushauri mlionipa kwamba nitafute wa kuoa nitulie naye bint akaniambia amechoka maisha ya korogwe hivyo kalipokea wazo langu la kuamua kuanzisha familia naye mjini daslam.

Basi ikawadia wasaaa wa kuoneshana ufundi wa mahaba mtoto yuko vizuri ktk sekta ya romance hakika nilifurahia mahaba Yale basi ikafika muda wa kuuanza mtanange mtoto yuko vizuri kama dansa wa baikoko huku akitoa sauti za kuhamasisha basi kipindi mi nimeongeza spidi naye akiwa amening'ang'ania kisawasawa Mara mwenzangu akanitia mdole huoo!!.loh nkajisikia hasira ya ghafla nikajikuta namshushia booonge la bichwa la mdomo.

Kwa jinsi nlivyomtandika kichwa cha nguvu mpaka mi kupasuka kichwani yeye meno yote ya mbele yaliingia ndani nikajikuta naogopa nikamtoroka gesti mpaka sasa sijui anaendeleaj mi nmekuja kujificha kijijini nembwibwi.

Nyie wanawake kama mnadanganyana huu ufala kwamba ukimfanyia mwanamme hakuachi haya sasa mshamponza mwenzenu.
kama mahaba yenyewe ndo haya mi nimeyashindwa mwenzenu.

Roho inaniuma kwa kitendo nilichokifanya lkn wa kulaumiwa ni aliyenitia dole.najua hawezi kwenda polisi maana ni tukio la aibu kuhadithia.

nimedharishwa saana
nyuma kulikosokomezwa dole mpaka likaingia? huu ni mchezo wako
 
Dah mkuu vp kwan kisoda chako hakifung kama cha Kicheche yule anayekamata kuku kupitia huko?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww kaka unapata misukosuko knyama hebu mkimbilie Mungu akuonyeshe mke bora n yupi
 
Yani wanaume wa pwani pwani huko mnamatatizo makubwa saaana... Yan unavyoelezea ni kama kitu cha kawaida saana. Unashida wewe kwanza dole kuingia tu bila kukwama kwama 😵😵, sisi wakubwa kidogo tumejiongeza
 
Back
Top Bottom