Wanawake kubalini sogea tuishi hali ni mbaya

Wanawake kubalini sogea tuishi hali ni mbaya

Mahari hulipwa na familia ya mtoto wa kiume kwa familia ya mtoto wa kike.
Sio sawa kwa mtoto wa kiume kuhangaikia mahari yake mwenyewe na familia yake wakajiweka kando. Wanatakiwa kutafuta pesa na kwenda nae kuposa mchumba wake na kulipia mahari.
 
Back
Top Bottom