J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,541 Reaction score 7,378 Jan 1, 2024 #21 Sogea tuishi inasaidia nini?
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Feb 5, 2025 #22 Mahari hulipwa na familia ya mtoto wa kiume kwa familia ya mtoto wa kike. Sio sawa kwa mtoto wa kiume kuhangaikia mahari yake mwenyewe na familia yake wakajiweka kando. Wanatakiwa kutafuta pesa na kwenda nae kuposa mchumba wake na kulipia mahari.
Mahari hulipwa na familia ya mtoto wa kiume kwa familia ya mtoto wa kike. Sio sawa kwa mtoto wa kiume kuhangaikia mahari yake mwenyewe na familia yake wakajiweka kando. Wanatakiwa kutafuta pesa na kwenda nae kuposa mchumba wake na kulipia mahari.