Ipo ivi Mimi nimeoa tumebatika kupata mtoto wa kiume saizi ana miaka 2.5 alivyo jifungua mtoto nilimwambia saizi kutafuta mtoto mpaka maisha yakae sawa tu dili na kutafuta pesa kwaza maana mwezangu ni mfanyabishara so kwenye hii mimba ya uyu mtoto amesumbuka sana sababu ilivyo fika miezi 4 ya mimba
Alifunga baishara kakaa nyumbani mimba ilikua Ina msumbua sana. Ndio apo alipo jifungua ndio nikamwambia atulie kwaza maana biashara nayo fanya Ina muhitaji yeye Kwa asilimia kubwa mimi tuma mzigo yeye anasimamia mauzo
Mimi nipo shamba nimejaribu kuweka wafanyakazi wengine hadi ndugu lakini uwaminifu 0 wate wezi so yeye top kwenye bishara iyo, sasa juzi ananimbia anajisikia ivyo kapima kila kitu hana shida yoyote kuja kupima mimba imoo du!! nikashangaa sasa kwamba hajui siku zake za hatari ama ananikomoa na shida mimba zake zina changamoto nyingi kila kitu kinasimama apo kufumwa kila siku, wanawake jukumu la kujua siku za hatari za kwenu wengine hatuna mpango wa kuzaa watoto wengi.