Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Pdidy ongea ueleweke. Hicho ni Kiswahili? Mafumbo? Au ndiyo lugha za ushambenga? Sema unalotaka kusema kwa lugha fasaha ueleweke na ujumbe wako ufike.Najua unajua na kama ujui ipo siku utajua kama ulikuwa unajua
unajua madada zetu wakitoka shugulini hujisafisha,sasa wakiwa bara kama ujuavyo
tena ole unywe inajiita uhuru park wallahi sijui ina ubia na toilet ile bia
kila ukionja ni ngoo ngoo ngoo..sasa mpaka wakiwa wanarudi ukiwakuta wamepanda mabasi
yaani hatari tupu nasema hatari maana kwa mtoto mchanga wa mwezi waweza mwambikiza magonjwa
kwa ile harufu kwa magari ya mbagala fulll kujiachia mpaka kwenye madirisha..so ukiacha aibu inakusaidia uwe msafi
aipendezi unarudi nyumban smelling toilet..razuu
how about wanawake wajaa wazito kwenda club?
unataka wanawake wakawinde wapi???
unamkuta mwanamke kakaa na fanta yake moja zaidi ya masaa 3........sasa kama sio kuwinda, ni nini huko???.......Kwani kila mwanamke anayeenda bar anakwenda kuwinda? Kwa hiyo na nyie wanaume mnavyoenda bar huwa mnakwenda kuwinda?
unamkuta mwanamke kakaa na fanta yake moja zaidi ya masaa 3........sasa kama sio kuwinda, ni nini huko???
hayo masaa 3 mimi nishakata serengeti 8........ pretty utakuwa ni mwanaharakati.........Wewe masaa 3 yote hayo unamchunguza mwanamke kama ana winda ama lah, je wewe nawe ulikuwa unafanya nini kama na wewe huwindi? Mie naona kama ngoma droo maana mtakuwa mnawindana.
.......Kwani kila mwanamke anayeenda bar anakwenda kuwinda? Kwa hiyo na nyie wanaume mnavyoenda bar huwa mnakwenda kuwinda?
isiwe taabu jamani;loh!!!
.......Kwani kila mwanamke anayeenda bar anakwenda kuwinda? Kwa hiyo na nyie wanaume mnavyoenda bar huwa mnakwenda kuwinda?