Wanawake kukesha bar mnatia aibu!!!!

Wanawake kukesha bar mnatia aibu!!!!

Najua unajua na kama ujui ipo siku utajua kama ulikuwa unajua
unajua madada zetu wakitoka shugulini hujisafisha,sasa wakiwa bara kama ujuavyo
tena ole unywe inajiita uhuru park wallahi sijui ina ubia na toilet ile bia
kila ukionja ni ngoo ngoo ngoo..sasa mpaka wakiwa wanarudi ukiwakuta wamepanda mabasi
yaani hatari tupu nasema hatari maana kwa mtoto mchanga wa mwezi waweza mwambikiza magonjwa
kwa ile harufu kwa magari ya mbagala fulll kujiachia mpaka kwenye madirisha..so ukiacha aibu inakusaidia uwe msafi
aipendezi unarudi nyumban smelling toilet..razuu
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Najua unajua na kama ujui ipo siku utajua kama ulikuwa unajua
unajua madada zetu wakitoka shugulini hujisafisha,sasa wakiwa bara kama ujuavyo
tena ole unywe inajiita uhuru park wallahi sijui ina ubia na toilet ile bia
kila ukionja ni ngoo ngoo ngoo..sasa mpaka wakiwa wanarudi ukiwakuta wamepanda mabasi
yaani hatari tupu nasema hatari maana kwa mtoto mchanga wa mwezi waweza mwambikiza magonjwa
kwa ile harufu kwa magari ya mbagala fulll kujiachia mpaka kwenye madirisha..so ukiacha aibu inakusaidia uwe msafi
aipendezi unarudi nyumban smelling toilet..razuu
We Pdidy ongea ueleweke. Hicho ni Kiswahili? Mafumbo? Au ndiyo lugha za ushambenga? Sema unalotaka kusema kwa lugha fasaha ueleweke na ujumbe wako ufike.
 
Nani kakuambia kuwa wahastahili kwenda bar peke yao. Hii ni karne ya saa-inzi na teke-linalokujia waache wajirushe na kurusha na nyamaume zingine baada ya za ndani kuonyesha udhaifu mkubwa karibu ktk kila fani hasa kitandani.

Heko wamama mnaoshinda bar kwa kutukumbuka na siye tusiona wamama nyumbani na kututunuku na mapenzi ya bure bilesi. Hekoni
 
mmmh wanawake na wanaume kukesha baa ni aibu
 
kuna wa'ake na wanawake sasa hawa wasiojua kupika na kukesha bar ni wa'ake
 
Jamani mbona mnawasimanga wakina mama na dada hivyo...kwani kuna alama iliyoandikwa usoni mwao kuwa waende bar mpaka saa ngapi! Mbona wa baba hatuwasemi kwa hilo? Mkiona hivyo basi mjue kuna tatizo sehemu fulani katika hizo nyumba zao, si bure na si hulka kwa mwanamke kufanya hayo. Kwa kweli ni aibu sana ila wafanye nini na wao wajisikia wapweke.
 
how about wanawake wajaa wazito kwenda club?

..............Kwani uliambiwa mwanamke mjamzito haruhusiwi kwenda outing/kujirusha? Kama ujauzito wako hauna matatizo yoyote kujirusha/club ni kama kawaida.
 
unataka wanawake wakawinde wapi???
 
unataka wanawake wakawinde wapi???

.......Kwani kila mwanamke anayeenda bar anakwenda kuwinda? Kwa hiyo na nyie wanaume mnavyoenda bar huwa mnakwenda kuwinda?
 
.......Kwani kila mwanamke anayeenda bar anakwenda kuwinda? Kwa hiyo na nyie wanaume mnavyoenda bar huwa mnakwenda kuwinda?
unamkuta mwanamke kakaa na fanta yake moja zaidi ya masaa 3........sasa kama sio kuwinda, ni nini huko???
 
unamkuta mwanamke kakaa na fanta yake moja zaidi ya masaa 3........sasa kama sio kuwinda, ni nini huko???

.........Wewe masaa 3 yote hayo unamchunguza mwanamke kama ana winda ama lah, je wewe nawe ulikuwa unafanya nini kama na wewe huwindi? Mie naona kama ngoma droo maana mtakuwa mnawindana.
 
.........Wewe masaa 3 yote hayo unamchunguza mwanamke kama ana winda ama lah, je wewe nawe ulikuwa unafanya nini kama na wewe huwindi? Mie naona kama ngoma droo maana mtakuwa mnawindana.
hayo masaa 3 mimi nishakata serengeti 8........ pretty utakuwa ni mwanaharakati
 
Get with the times, mbona ni mambo ya kawaida sana, siku hizi mwanamke na mwanaume wana haki sawa, na kama sisi wanaume tunaweza kesha bar siyoni kwanini wanawake pia wasijiachie. . .
thumbup.gif
 
Back
Top Bottom