Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Umeangalia nini hadi kuifikia konklusheni hiyo? Kwa tarehe ya kujiunga, mimi siyo mdogo wako...AhahahahahaHahaha sio mdogo wangu wewe?
Bila kusahau flora mbashaDogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
Nisijewekwa kwenye listi ya wabeba vibenten.Umeangalia nini hadi kuifikia konklusheni hiyo? Kwa tarehe ya kujiunga, mimi siyo mdogo wako...Ahahahahaha
Iko poa kabisa maana wote ni watu wazima kasoro yao ni mpishano wa umri tu.Kimaadili hii imekaaje
Hapana bana huwezi wekwa... Haya niambie sasaNisijewekwa kwenye listi ya wabeba vibenten.
haya bnaa.Hapana bana huwezi wekwa... Haya niambie sasa
Ahahahahahaha Sakayo we una dhambi ujuwe...!!!! AhahahahahahaaaUsiwafananishe wanawake na vitu vya kipuuzi!!