Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Bado naendelea na utafiti,kamati yangu ipo hatua za mwisho mwisho. Loading 86%....Dogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!