Wanawake kuolewa na wanaume wadogo hivi imekuwa fasheni!

Wanawake kuolewa na wanaume wadogo hivi imekuwa fasheni!

Dogo janja na irine uwoya

Aunt Ezekiel na moze iyobo

Zari na diamond

Shilole na Uchebe

Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!

Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
Bado naendelea na utafiti,kamati yangu ipo hatua za mwisho mwisho. Loading 86%....
 
Dogo janja na irine uwoya

Aunt Ezekiel na moze iyobo

Zari na diamond

Shilole na Uchebe

Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!

Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
Wee ulishawahi ona wapi Leyland ikitesa misele mjini?? Bwana wee Tuache na mijimama yetu siye tule mafao
 
Dogo janja na irine uwoya

Aunt Ezekiel na moze iyobo

Zari na diamond

Shilole na Uchebe

Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!

Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
Mwingine ni Riyama
 
USISHANGAE MKUU, GARI BOVU HUSUKUMWA NA GARI ZIMA (jipya). Kuku kijana no kazuri kukala! KANANYUMBILIKA!
 
Back
Top Bottom