Sio wote..I wish nikuwekee picha ya anti angu ni mweusi hatumii mkorogo
ila ana ndevu...wengine wanazaliwa nazo
Side effects za contraceptiveNi swali ambalo najiuliza na sipati jibu. Sio kwamba mikoa mingine hawapo wa aina hiyo ila huku wamezidi. Nimetembea mikoa karibu saba nchi hii, dar, arusha, mwanza, dodoma,tanga, ruvuma, morogoro na iringa ndo home. Karibu kwenye kila wanawake 20 unaokutana nao mbeya watatu kati yao wana ndevu. Najiuliza nini kinasababisha? Mikorogo? Vyakula wanavyokula? Mabadiliko ya mazingira? Je, nini chanzo cha hali hii? Kumbuka Mbeya ni mkoa wenye mchanganyiko wa makabila mbali mbali ya asili ya hapo na wahamiaji.
Side effects za contraceptive
Si wanalima Mahindi kwa wingi = ivo mahindi si yanandevu?
SIO wote wenye ndeve wanatumia mikorogo au contraceptive, wengine ni asili au kuna mambo mengine zaidi kwani sisi kwetu ni weupe balaa,mimi nina ndevu na hata miguuni malaika wamejaa mpaka najichukia, dada yangu yeye anandevu na nywele za kifuani pia.Ni wanawake wa sasa tu wanaoendekeza mikorogo ndio wana midevu kama kaka na baba zao,nina mama zangu wakubwa na wadogo zaidi ya 7 hakuna hata mmoja mwenye ndevu,cha kushangaza dada zangu wawili wana ndevu na ni watumiaji wazuri wa mkorogo.
SIO wote wenye ndeve wanatumia mikorogo au contraceptive, wengine ni asili au kuna mambo mengine zaidi kwani sisi kwetu ni weupe balaa,mimi nina ndevu na hata miguuni malaika wamejaa mpaka najichukia, dada yangu yeye anandevu na nywele za kifuani pia.
Niko hapa Mbeya maeneo ya soweto kwenye moja ya grocery napata konyagi ameingia mama mmoja ana ndevu na mustachi halafu usoni sio mweupe bali ni mwekundu,Lakini nimeuliza nikaambiwa ni mkorogo....!