Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Kwa kiasi flani nakubaliana na mtoa mada ingawa hajatupa nikwa asilimia ngapi imekuwa hivyo
Swli lingine nialojiuliza nikwanini wanawake wenye ndevu wamekuwa wengi miaka ya karibu kuliko miaka ya nyuma ampapo wanawake wenye ndevu walionekana kwa nadra sana au na vyakula vya madukani navyo vinachangia?
 
Ni swali ambalo najiuliza na sipati jibu. Sio kwamba mikoa mingine hawapo wa aina hiyo ila huku wamezidi. Nimetembea mikoa karibu saba nchi hii, dar, arusha, mwanza, dodoma,tanga, ruvuma, morogoro na iringa ndo home.

Karibu kwenye kila wanawake 20 unaokutana nao mbeya watatu kati yao wana ndevu. Najiuliza nini kinasababisha? Mikorogo?

Vyakula wanavyokula? Mabadiliko ya mazingira? Je, nini chanzo cha hali hii? Kumbuka Mbeya ni mkoa wenye mchanganyiko wa makabila mbali mbali ya asili ya hapo na wahamiaji.
 
Nadhani kuna mchanganyiko wa vitu vingi hapo. Maana mie kwenye ukoo wangu wanawake tuna ndevu balaa!
 
Nadhani ni asili tu,sisi tumezaliwa na kukulia dar es salaam na bado tuna ndevu.
 
Ni swali ambalo najiuliza na sipati jibu. Sio kwamba mikoa mingine hawapo wa aina hiyo ila huku wamezidi. Nimetembea mikoa karibu saba nchi hii, dar, arusha, mwanza, dodoma,tanga, ruvuma, morogoro na iringa ndo home. Karibu kwenye kila wanawake 20 unaokutana nao mbeya watatu kati yao wana ndevu. Najiuliza nini kinasababisha? Mikorogo? Vyakula wanavyokula? Mabadiliko ya mazingira? Je, nini chanzo cha hali hii? Kumbuka Mbeya ni mkoa wenye mchanganyiko wa makabila mbali mbali ya asili ya hapo na wahamiaji.
Side effects za contraceptive
 
mwanjerwa wewe huna?
 
Last edited by a moderator:
Side effects za contraceptive

Nakubaliana na wewe kwamba mtu anaweza kuota ndevu baada ya kutumia contraceptives. Lakini si na mikoa mingine wanatumia? Au mkoa wa mbeya ndo watumiaji wazuri wa njia za uzazi wa mpango kuliko wengine?
 
Wanawake wengi wa Mbeya hasa kutoka Kyela wanajichubua sana...! Michubuo mingi au mkorogo unapatikana kwa wingi nchi jirani ya Zambia.., Vilevile ukibahatika kutembelea Zambia utakuta wanawake wengi wana ndevu.
 
Ni wanawake wa sasa tu wanaoendekeza mikorogo ndio wana midevu kama kaka na baba zao,nina mama zangu wakubwa na wadogo zaidi ya 7 hakuna hata mmoja mwenye ndevu,cha kushangaza dada zangu wawili wana ndevu na ni watumiaji wazuri wa mkorogo.
 
SIO wote wenye ndeve wanatumia mikorogo au contraceptive, wengine ni asili au kuna mambo mengine zaidi kwani sisi kwetu ni weupe balaa,mimi nina ndevu na hata miguuni malaika wamejaa mpaka najichukia, dada yangu yeye anandevu na nywele za kifuani pia.
 
Niko hapa Mbeya maeneo ya soweto kwenye moja ya grocery napata konyagi ameingia mama mmoja ana ndevu na mustachi halafu usoni sio mweupe bali ni mwekundu,Lakini nimeuliza nikaambiwa ni mkorogo....!
 
Ndio maana nikauliza, nini kinasababisha watu wa aina hii kuwa wengi? Na kwa nini mbeya ni wengi zaidi?
 
Niko hapa Mbeya maeneo ya soweto kwenye moja ya grocery napata konyagi ameingia mama mmoja ana ndevu na mustachi halafu usoni sio mweupe bali ni mwekundu,Lakini nimeuliza nikaambiwa ni mkorogo....!

Mkuu huku unakutana na mabinti wengi 20-30 ukicheki kidevu mpaka hata wewe unaona ziko kidogo. Kuna dada mmoja mpaka nilimuonea huruma. Analipa kila idara lakini kidevu chake sasa, loh!
 
Hebu chunguza vizuri, maana nadhani hata wanaume wa Mbeya wanaweza kuwa na matiti. Anzia uchunguzi kwa mawaziri akina Mwa...
 
Tatizo kubwa ni mikorogo,wanawake wengi sasa hivi wanaota ndevu na mustachi
 
Back
Top Bottom