Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
^^
Kuna mmoja anazo, nampenda toka moyoni na sababu mojawapo ni jinsi zinavyomuongezea mvuto kiasi cha kumfanya awe wa pekee!
^^
we Himidini unaniangusha mtu wangu,yaani ndevu zinamuongezea mvuto?ina maana unavutiwa na ndevu?utaanza kuvutiwa na wanaume ujue ohoooo!unapoelekea kubaya
Ukiachilia mbali ndevu za urithi, kumekuwa na kasi ya wanawake kuota ndevu tena wakiwa watu wazima, tatizo ni nini?
Leo nimekutana ghafla na mdada mmoja niliyesoma naye UDSM, kama miaka 2 iliyopita, huyu dada alikuwa mrembo sana, cha ajabu ameota sharubu kama za kambale! Nikawa nasalimiana naye, anaona aibu na kuinama!
Nilipoachana naye, nikaenda ofisi moja, kuingia tu mlangoni, nikakutana na wadada 3, dah, wana sharubu sio kidogo! Nikaona kama siku yangu ya leo ina so na mood ikaanza kuswing!
Watu mliooa wadada wenye sharubu, how do you copy with the situation? Hasa ikiwa sharubu zimedevelop ukubwani?
Na je, nyie wadada sharubu mnazito wapi?
Sipendezwi kuona wadada wakiwa na sharubu! It looks awkward to me na inaniondolea munkari ya kuinteract nao sexually!

Mkorogo zaidi ndevu zaidi
Hii ni vice versa kwa wavulana kuwa na hips na matiti makubwa nayo inaongezeka kwa kazi. Hapa nadhani kutakuwa na hormonal imbalances au vyakula wanavyokula tangu utotoni hadi unakuwa kijana.
Ni vyakula gani hivyo aisee.....tujihadhari mapema kabisa!!
Ukiachilia mbali ndevu za urithi, kumekuwa na kasi ya wanawake kuota ndevu tena wakiwa watu wazima, tatizo ni nini?
Leo nimekutana ghafla na mdada mmoja niliyesoma naye UDSM, kama miaka 2 iliyopita, huyu dada alikuwa mrembo sana, cha ajabu ameota sharubu kama za kambale! Nikawa nasalimiana naye, anaona aibu na kuinama!
Nilipoachana naye, nikaenda ofisi moja, kuingia tu mlangoni, nikakutana na wadada 3, dah, wana sharubu sio kidogo! Nikaona kama siku yangu ya leo ina so na mood ikaanza kuswing!
Watu mliooa wadada wenye sharubu, how do you copy with the situation? Hasa ikiwa sharubu zimedevelop ukubwani?
Na je, nyie wadada sharubu mnazito wapi?
Sipendezwi kuona wadada wakiwa na sharubu! It looks awkward to me na inaniondolea munkari ya kuinteract nao sexually!
mungu anataka kufanya changes. kuna siku mtaamka mmekuwa wanawake na sisi tumekuwa wanaume.....