Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

^^
Kuna mmoja anazo, nampenda toka moyoni na sababu mojawapo ni jinsi zinavyomuongezea mvuto kiasi cha kumfanya awe wa pekee!
^^

we Himidini unaniangusha mtu wangu,yaani ndevu zinamuongezea mvuto?ina maana unavutiwa na ndevu?utaanza kuvutiwa na wanaume ujue ohoooo!unapoelekea kubaya
 
we Himidini unaniangusha mtu wangu,yaani ndevu zinamuongezea mvuto?ina maana unavutiwa na ndevu?utaanza kuvutiwa na wanaume ujue ohoooo!unapoelekea kubaya

^^
Yaani namna alivyo zina ongeza hali fulani hivi, halafu sio nyingi kiasi cha mtu kuziona upesi mpaka uzikague, anajua kuzihifadhi.
Ha ha eti nitamani wanaume wenzangu God forbid.
Najiamini. I've my own ethics
^^
 
Hii ni vice versa kwa wavulana kuwa na hips na matiti makubwa nayo inaongezeka kwa kazi. Hapa nadhani kutakuwa na hormonal imbalances au vyakula wanavyokula tangu utotoni hadi unakuwa kijana.

Ukiachilia mbali ndevu za urithi, kumekuwa na kasi ya wanawake kuota ndevu tena wakiwa watu wazima, tatizo ni nini?

Leo nimekutana ghafla na mdada mmoja niliyesoma naye UDSM, kama miaka 2 iliyopita, huyu dada alikuwa mrembo sana, cha ajabu ameota sharubu kama za kambale! Nikawa nasalimiana naye, anaona aibu na kuinama!

Nilipoachana naye, nikaenda ofisi moja, kuingia tu mlangoni, nikakutana na wadada 3, dah, wana sharubu sio kidogo! Nikaona kama siku yangu ya leo ina so na mood ikaanza kuswing!

Watu mliooa wadada wenye sharubu, how do you copy with the situation? Hasa ikiwa sharubu zimedevelop ukubwani?

Na je, nyie wadada sharubu mnazito wapi?

Sipendezwi kuona wadada wakiwa na sharubu! It looks awkward to me na inaniondolea munkari ya kuinteract nao sexually!
 
Mi nasikiaga mwanamke kuwa na ndevu maana yake atakuwa tajiri
nami nnasharubu zangu mbili nazipenda sana....
 
Kuna zile za kuzaliwa nazo ila kuna ambazo zinatokana na mkorogo!!!

mkorogo-1.jpg
 
Hii ni vice versa kwa wavulana kuwa na hips na matiti makubwa nayo inaongezeka kwa kazi. Hapa nadhani kutakuwa na hormonal imbalances au vyakula wanavyokula tangu utotoni hadi unakuwa kijana.

Ni vyakula gani hivyo aisee.....tujihadhari mapema kabisa!!
 
Epukana na vyakula vinavyotengenezwa viwandani, Mayai na kuku wa kizungu, juice za viwandani, vyakula vilivyowekewa viwatilifu(GMO) na Paoja na matumizi ya chemicals mbalimbali haswa za kujipakaa mwilini na zinginezo za kunywa.
Pendelea kula vyakula vya asili.

Ni vyakula gani hivyo aisee.....tujihadhari mapema kabisa!!
 
Kuna sababu nyingi tu ambazo zinapelekea hali hiyo kwa wanawake.

Nyingi ya sababu hizi huwa ni za kitabibu na hakuna namna yoyote ya kuzizuia.
 
Huo mikorogo mkuu..

Wameshatoa layer ya juu ya ngozi.. tehe baada ya hyo sijui tutakutana na nini .. kaa
 
Hata mimi nikitizama nyonyo zangu nawa na wasiwasi...lolz6¦1 Zisijekuwa kama za mwajuma..teh!!
 
Wenye ndevu mbona mnawasakama jamani wengine hawajawahi tumia mkorogo wala hayo makuku ya kisasa. Nimaumbile tu mzoeeee.
 
Ukiachilia mbali ndevu za urithi, kumekuwa na kasi ya wanawake kuota ndevu tena wakiwa watu wazima, tatizo ni nini?

Leo nimekutana ghafla na mdada mmoja niliyesoma naye UDSM, kama miaka 2 iliyopita, huyu dada alikuwa mrembo sana, cha ajabu ameota sharubu kama za kambale! Nikawa nasalimiana naye, anaona aibu na kuinama!

Nilipoachana naye, nikaenda ofisi moja, kuingia tu mlangoni, nikakutana na wadada 3, dah, wana sharubu sio kidogo! Nikaona kama siku yangu ya leo ina so na mood ikaanza kuswing!

Watu mliooa wadada wenye sharubu, how do you copy with the situation? Hasa ikiwa sharubu zimedevelop ukubwani?

Na je, nyie wadada sharubu mnazito wapi?

Sipendezwi kuona wadada wakiwa na sharubu! It looks awkward to me na inaniondolea munkari ya kuinteract nao sexually!

Kuku wakizungu + mayai yakizungu + korie == matiti kwa wanaume, hips kwa wanaume, ndevu kwawadada na mengine ongezea mwenyewe.
 
mimi najua kwa kiasi kikwa ni kuridhi na Hormne

Ila kutumia dawa za family planing bila kuwasiliana na daktari akakupima akajua ni ipi itakufaa kulingana na reaction ya mwili wako, huchangia kwani huenda kuingilia mfumo wa hormone za uzazi
Hiyo ya mkorogo nilikuwa sijaijua
 
mungu anataka kufanya changes. kuna siku mtaamka mmekuwa wanawake na sisi tumekuwa wanaume.....

Dhambi kubwa sana dada yangu mbele ya Mungu, itubu hii dhambi haraka iwezekanavyo, tania vingine ila usifanye utani na uumbaji wa Mungu! kazi ya Mungu ni kamili na haihitaji mabadiliko.
 
Back
Top Bottom