Kama kambale,ajulikani nani baba nani mama!
Kuna zile za kuzaliwa nazo ila kuna ambazo zinatokana na mkorogo!!!
Wakati wa kugegeda inabidi umfunike shuka usoni.
Dah? sasa utamfunikaje shuka?
Ili usione kidevu usijefikiri umebeba mpunga.
Habari za asubuhi! wakuu kama heading inavyojieleza,
Mara nyingi huwa nakutana na wanawake wenye ndevu, tena wengine zinajaa kidevuni kama mwanaume vile, hili la sababu ya mwanamke kuwa na ndevu lilishajadiliwa wengne wakilihusisha na vyakula wengine wakienda mbali na kuhusisha na kipaji,
Kwahyo kinachonishangaza ni wao kutozinyoa tu, je ndevu za mwanamke hazitakiwi kunyolewa?kama jibu ni ndio, ni kwanini? Maana kwangu naona ni kinyaa mwanamke kuwa na ndevu.

Pole sana! naona umesema mwenyewe kuwa bangi inakubhana.