Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

siku hizi imekua too much mi nilksikia ni vipodoz na madawa ya uzazi wa mpango

Ni kweli siku hizi imezidi. Lakini pia siyo lazima hiyo madawa ya uzazi na vipodozi maana kuna watu nawafahamu ni natural ngozi zao na nywele pia lakini wana ndevu
 
Kurithi ni sababu mojawapo lakini pia wenye ujuzi wa utabibu wanaweza kutupia hapa
 
mi nilimuona mdada mmoja alikuwa na vinyweleo mpaka kifuan hasa eneo la juu ya matiti.
 
Molaro, jambo hili kwasasa ni kubwa mno na wengine wanadai eti ni kwasababu ya vipodozi. Ngoja wanaojua uhalisia wa jambo hili watujuze.

CC: Mzizimkavu (Mkuu tujuze)

vipodozi vinaweza kuwa chanzo lkn kuna wadada nimewaona hawatumii sana vipodozi(kawaida) lakini wana ndevu
 
Ni kweli siku hizi imezidi. Lakini pia siyo lazima hiyo madawa ya uzazi na vipodozi maana kuna watu nawafahamu ni natural ngozi zao na nywele pia lakini wana ndevu

ni kweli watu kama hao ambao ni natura kabisa lakini bado wana ndevu, wewe unadhani nini hasa chanzo chake mkuu!
 
Wanawake wengi walio na ndevu ni wanywaji wakubwa sana wa PENIS JUICE.Jamani SHAHAWA cyo maji ya kunywa hayo acheni akina dada.Matokeo ya kumeza shahawa za wanaume ndo moja wapo ni kuoteana mindevu isiyokuwa na mbele wala nyuma.
 
Jana wameteka wanawake 20 hukohuko chibok

wanazidi kuteka tu
Lakini hofu yangu kuu ni kuwa wengi wa wale wasichana ambao watakuwa wamevunja ungo watapata ujauzito hasa ukizingatia kuwa lengo la hao jamaa ni kuwaoza na si kusoma!
 
Wanawake wengi walio na ndevu ni wanywaji wakubwa sana wa PENIS JUICE.Jamani SHAHAWA cyo maji ya kunywa hayo acheni akina dada.Matokeo ya kumeza shahawa za wanaume ndo moja wapo ni kuoteana mindevu isiyokuwa na mbele wala nyuma.

je unaweza kututhibitishia hili kisayansi mkuu?
 
Buda hili si tatizo inaitwa sunna...jaribu mmoja mwenye ndevu uje kuleta mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom