Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Cjui ndo huyu KIBEet
 

Attachments

  • 1396636751061.jpg
    18.9 KB · Views: 114
Last edited by a moderator:
CC; Mkuu Tyta msaada wa picha ili kukazia thread hii
 
Impact ya haki sawa....na bado wataota hadi nanii...
 
Mie nilisikia kwa baadhi ya watu wakisema kwamba wa hivyo akinyoa mumewe ana dead sasa sijui kama ni kweli.
 
Tatizo la wanawake kuwa na ndevu linazidi kukua kwa kasi, ni nini hasa chanzo chake?

Kama ni kutokuwiana(balance) kwa vichocheo(hormones) ama mwanamke kuwa na hormones za kiume nyingi kuliko za kike,

Nini chanzo chake hasa kwa kizazi hiki tofauti na vizazi vilivyotangulia maana sasa hivi si ajabu kumkuta mwanamke katapakaa ndevu na wengine hadi mustachi?.
 
Molaro, jambo hili kwasasa ni kubwa mno na wengine wanadai eti ni kwasababu ya vipodozi. Ngoja wanaojua uhalisia wa jambo hili watujuze.

CC: Mzizimkavu (Mkuu tujuze)
 
Huwa unashave mwenyewe au unaenda saloon? Kuna imani kwamba Wanawake wenye ndevu wana bahati sana kwenye maisha, je na wewe unaona hivyo katika maisha yao?

lol na mimi ninalo na situmii vipodozi sana MziziMkavu COME This way
 
Huwa unashave mwenyewe au unaenda saloon? Kuna imani kwamba Wanawake wenye ndevu wana bahati sana kwenye maisha, je na wewe unaona hivyo katika maisha yao?

Hahahahaha BAKI ka ndio hivyo basi yule msemaji wa polisi Advera Senso angekuwa ana bahati nyingi sana
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

lol na mimi ninalo na situmii vipodozi sana MziziMkavu COME This way
Tatizo la wanawake kuwa na ndevu ni kuwa na ( hormones) nyingi na wala sio kitu cha kushangaza ni kawaida tu aende hospitali.@shansarie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…