siku hizi imekua too much mi nilksikia ni vipodoz na madawa ya uzazi wa mpango
Ni kweli siku hizi imezidi. Lakini pia siyo lazima hiyo madawa ya uzazi na vipodozi maana kuna watu nawafahamu ni natural ngozi zao na nywele pia lakini wana ndevu
Molaro, jambo hili kwasasa ni kubwa mno na wengine wanadai eti ni kwasababu ya vipodozi. Ngoja wanaojua uhalisia wa jambo hili watujuze.
CC: Mzizimkavu (Mkuu tujuze)
Swali hili lingeelekezwa kulee kwa matabibu
Sidhani kama ni ugonjwa, hii ni kama mvi kwa kijana mdogo
Tatizo la wanawake kuwa na ndevu ni kuwa na ( hormones) nyingi na wala sio kitu cha kushangaza ni kawaida tu aende hospitali.@shansarie
siku hizi imekua too much mi nilksikia ni vipodoz na madawa ya uzazi wa mpango
Ni kweli siku hizi imezidi. Lakini pia siyo lazima hiyo madawa ya uzazi na vipodozi maana kuna watu nawafahamu ni natural ngozi zao na nywele pia lakini wana ndevu
Kurithi ni sababu mojawapo lakini pia wenye ujuzi wa utabibu wanaweza kutupia hapa
mi nilimuona mdada mmoja alikuwa na vinyweleo mpaka kifuan hasa eneo la juu ya matiti.
Bring Back Our Girls...
worry out mkuu,boko haram will bring them soon when they are satisfied with them.
Jana wameteka wanawake 20 hukohuko chibok
Wanawake wengi walio na ndevu ni wanywaji wakubwa sana wa PENIS JUICE.Jamani SHAHAWA cyo maji ya kunywa hayo acheni akina dada.Matokeo ya kumeza shahawa za wanaume ndo moja wapo ni kuoteana mindevu isiyokuwa na mbele wala nyuma.
Buda hili si tatizo inaitwa sunna...jaribu mmoja mwenye ndevu uje kuleta mrejesho hapa