Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Hormones tu hapo kama wanaume kuwa na chuchu,makalio makubwa au sauti nyororo.
 
Life style has a lot to do with, massive use of contraceptives, cosmetics and likes. All of these are synthetic hormones contrary to natural body functions/ physiology.
 
Hicho si kitu cha ajabu labda kama umezaliwa juzi.
 
sio ajabu ila na.vipodozi vinachangia, mwanamke anayetumia mkorogo mkali yuko kwenye hatari kubwa ya kupata ndevu.
 
Mtoa uzi Nitafute kwa muda wako nikufundishe nini maana ya "janga"
 
sio ajabu ila na.vipodozi vinachangia, mwanamke anayetumia mkorogo mkali yuko kwenye hatari kubwa ya kupata ndevu.

Mkuu acha kupotosha. Kama unapenda kujisomea tumia hata mtandao kusoma endocrine system uone jinsi gani homoni zinafanya kazi kwenye mwili wa binadamu. Mambo ya mkorogo weka pembeni hayo. Ndevu ni effects za homoni mwilini nothing else.
 
Sasa Mwulupale, hivo vipodozi haviwezi kuwa na components/ingredients zenye adverse events ...moja ikiwa kuongeza utokaji wa hormone (s) zinazo promote utokaji wa hzo ndevu kwa wakinamama.
 
Back
Top Bottom