King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
kitaamboo..ulikutwa na yep?
Hormones tu hapo kama wanaume kuwa na chuchu,makalio makubwa au sauti nyororo.
wanunulie vinyoleo...
Cha ajabu nini, just hormonal imbalance
mahaba ninyonge
Eti janga la taifa unajua maana ya janga wewe.
sio ajabu ila na.vipodozi vinachangia, mwanamke anayetumia mkorogo mkali yuko kwenye hatari kubwa ya kupata ndevu.
Hicho si kitu cha ajabu labda kama umezaliwa juzi.
sio ajabu ila na.vipodozi vinachangia, mwanamke anayetumia mkorogo mkali yuko kwenye hatari kubwa ya kupata ndevu.
Mkuu acha kupotosha. Kama unapenda kujisomea tumia hata mtandao kusoma endocrine system uone jinsi gani homoni zinafanya kazi kwenye mwili wa binadamu. Mambo ya mkorogo weka pembeni hayo. Ndevu ni effects za homoni mwilini nothing else.