Ujenzi wa maumbile huchagizwa na "homoni" Ndevu hazihusiani na utajili. Ila siku hizi matumizi ya vipodozi hasa vinavyotumika kubadilisha nywele vina vichocheo vingi vya homoni vinavyochea uotaji wa ndevu kwa wanawake. NA NDIO MAANA SIKU HIZI wanawake wengi mjini wana ndevu na nyele kifuani mwao.
Pia, watoto wa kiume ambao hulishwa sana nyama ya kuku wa kisasa na mayai yake, watoto hao hutokea kuwa na sauti nyemba kama wanawake na huota maziwa(matiti).
Mauaji ya wanawake huko Mbeya na mauaji yoyote yale kwa imani za kishirikina huashiria kwamba watu wa huko hawajaelimika, ni washirikina, ni waabudu mashetani na mapepo na mizimu, ni masikini, kwa jumla hawajastaarabika-hawajaendelea.