Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kuna uhusiano gani kati ya mwanamke mwenye ndevu na utajiri? Nakumbuka miaka ya nyuma, mkoani Mbeya wanawake wenye ndevu walikuwa wanapotea kwenye mazingira ya kutatanisha na walipo patikana walikutwa ni maiti na videvu na sehemu zao za siri vikiwa kimekatwa na kinyofolewa
nimeipenda hii 😛anda:Hizo za kizamani, za siku hizi za mkorogo hazina maana hata chembe!
Siku hizi wanawake wengi wanaota ndevu ukilinganisha na miaka ya nyuma! Hii inasababishwa na nini?