Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake wenye ndevu wanaanza kuongezeka kwa kasi kitu kinacholeta mkanganyiko. Kitu gani kinawafanya nyie wanawake muote ndevu?
Tena na wewe usipende kula kuku wa kisasa na haya mavyakula ya kwenye makopo sana, utajikuta waota matiti mchana kweupe!

Vyakula natural vinadharaulika sana siku hizi, watu wanatafuta ladha zaidi, hawajui kuwa vitamu vyote vina madhara makubwa!
 
Kweli kabisa vitamu vyote vinamadhara, mfano mzuri ni Naniliuu...
 
Juzi nimemuona madada mzuri kweli lakini ana nywele kifuani nae dah! sasa sijui imekaaje hii mambo?
 
Ila nimewahi kusikia wanawake wenye ndevu ni watamu kweli. Sijui kuna ukweli gani. Kama kuna ukweli bora wacha waongezeke.
Kuna wenye ndevu za kuzaliwa(unaowazungumzia wewe) na zile zinajiotea uzeeni ambazo nadhani ndizo anazozizungumzia nitonye, amini usiamini kuna vipodozi vya china mwanamke akipaka anaota ndevu, tena wengine wanapata 'o' kabisa!
 
Tena na wewe usipende kula kuku wa kisasa na haya mavyakula ya kwenye makopo sana, utajikuta waota matiti mchana kweupe!

Vyakula natural vinadharaulika sana siku hizi, watu wanatafuta ladha zaidi, hawajui kuwa vitamu vyote vina madhara makubwa!

Hee wanitisha mbona hivyo!
 
Hebu wekeni picha ya mwanamke mwenye ndevu hapa. Najaribu kutafuta sipati.
 
Kama nakutisha endelea kula uone kama hujaanza kunyonyoka ndevu na kuota matiti! Ntakuachaje kwenye mataa?...lol

Kuanzia leo sili kabisa hao kuku ushauri wako nimeupitisha 100%
 
Wanawake wenye ndevu wanaanza kuongezeka kwa kasi kitu kinacholeta mkanganyiko. Kitu gani kinawafanya nyie wanawake muote ndevu?

Wapunguze kula chipsi kuku zina madhara makubwa kwa afya zao angalia wengine wanatokwa na vitambi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…