Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amini usiamini kuna vipodozi vya china mwanamke akipaka anaota ndevu, tena wengine wanapata 'o' kabisa!
Sometimes huwa anazichana kabisa yeye hana noma wala nini ila mtamu sana
Hahaha, yaani kama nakuona vile ulivyoshtuka!..Nilikutana na mmoja aisee nilipata wakati mgumu sana kumwonyesha kuwa sijapatwa na mshtuko!
Dah! ila hizo zimekaa vibaya kweli, mbona kaziacha hivyo makusudi!!. utadhani beberu. Loh!
Wanawake wenye vipara bado sijawaona ila ndevu yupo msemaji wa jeshi lo polisi tz
Wanawake wenye vipara bado sijawaona ila ndevu yupo msemaji wa jeshi lo polisi tz
Hebu weka picha yake tuijadili basi, mbona habari nusunusu swahiba?Aisee yule mama!!!! sijawahi ona mwanamke ana ndevu kiasi kile...Anatia huruma.