chopeko
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 1,528
- 1,108
Habari WanaJF,
Eti nauliza ndevu kwa jinsia ya kike zinasababishwa na nini??
Na katika utoto wangu nshawahi kuambiwa kwamba wanawake wenye ndevu ni lazima wawe matajiri na ni brave.(sijui kama ni kweli)!!
Na kinachonishangaza zile ndevu huwa hazinyolewi hata kama ipo moja tu!!!!!!!
I'm just curious, mwenye maelezo zaidi anijuze!!!!
Nawasilisha